02/04/2003 | ||
WECHE MOKADHO
JEXJALUO **** |
wahaya na wajaluo [wahaya gi joluo] kanyakla gi gik mamoko duto te naomba kujua utani wa wahaya na wajaluo chanzo chake ni nini? Mimi ninavyofahamu makabila nyingi au utani wa makabila yaliyomengi yametokana na kwamba wamepigana vita na matokeo yake hapakupatikana mshindi alafu baadaye wakaamua kuwa marafiki na urafiki huo umevuka urafiki wa kawaida na wakawea kama ndugu na ndipo wakawa watani. Au mwingine amemwokoa mwenzake katika hatari huenda amezingirwa na maadui na mwenzake akamwokoa na matokeo yake wakawa marafiki na watani . Sasa sisi wajaluo na hawa washamba watoto wetu wahaya utani wetu umetokana na nini? Wengine wanasema walikua hawajui kula kamongo na tukawasaidia kujua kula ile KAMONGO ndipo wakatushukuru mpaka wakatuona baba zao yaani watani je ni kweli hivyo naomba wajaluo na wahaya wanisaidie kujibu ili nitokwe na dukuduku hii. Huku kwetu yaani Tanzania hata bunge letu tukufu wanaelewa jinsi gani utani wetu na wahaya unavyothaminiwa hata katika bajeti ya bunge waziri mhaya au mjaluo lazima ajitahidi apange bajeti yake vizuri ili kusudi mhaya au mjaluo akaunge mkono kama ilivyotokea siku za nyuma na marehemu mbunge moja mhaya na mheshimiwa moja waziri mjaluo. Ni utani unaotamaniwa hata na makabila mengine kama unavyofahamu huku kwetu Bwana Mungu kwa kumtumia marehemu aliyekua ndugu yetu mpendwa marehemu J.K. Nyerere tuliondoa ukabila kila mtu ni NDUGU lakini undugu wetu na wahaya umezidi tofauti wao wamezidi ushamba huko kwa wamesoma watu watatu tu moja anayo digrii ya kuiba ng'ombe kutoka Musoma na kupeleka kwa na mwingine anayo digrii ya papa yeye aliajiriwa na Vatican alistahili kuwa papa lakini roho mbaya ya watu wa mwisho anayo digrii ya kutoroka jela alitoroka na gari la kimulimuli analpanda rais tu naye amesoma . Hayo ndo baadhi ya utani wetu na wahaya sasa nisaidieni utani wetu huu chanzo chake . ORITI URU NYIKWA RAMOGI AJWANG Vitalis Chuonyo. Ka in gi mari moro ma di wandik ka to orni
|
Waparo mar paro jotend
Luo mosekelo pogruok e piny Luo chakre higa 1900 nyaka 1999 e gweng'u
kata ei Luo duto. Koro wakwayou uduto ni par uru ane jogo ma di
uket nying gi ka kod weche duto ma ung'eyo kuomgi mondo uor ni Akello NyarKager: jaluo@jaluo.com
Kata inyalo oro twak kod weche manyien ne: Mig. Ajos wuod Atiga : Riwruok mar JOLUO e Piny Ngima, orwaku uduto mondo ubed e kanyakla mar burani. Ornwa nyingi gi nondi kaka obedo. Riwruok e teko joka Nyanam.
|
Copyright © 1999-2002, Jaluo dot com
All Rights Reserved