10/03/2007 |
|
|
HOME VILLAGE NEWS GRANTS ARCHIVES
;
|
KWa NINI KIBAKI AONDOLEWE NA WAKENYA HARAKA? unedited Vijana na Wazalendo wakenya;
Kenya has come to the time in history where the choices are clearer
than ever before; between right and wrong, evil and good,good and bad;
the choice is between;
Between Ukabila and Natioinalism
Between wealth for a few old men and their families and wealth
for all Kenya
Between centralised power and resources or devolved power and resorces
to all Kenyans
Between Jobs and business opportunities 90% in favour of one region
and for all Kenyans
Between continue with the policies of session paper no 10 1965
or a new paradigm of equality and affirmative action for the marginalised
peoples and regions
Between tokenism for youth and women constituencies or a radical
transformation of structures to enhance opportunity
Between impunity for looters and accountability with justice
Between Development as a gift from Kibaki or Development as a
roight and a duty under a new democratic and popular government governmment;
Between a government document or a people driven constitution
Between Unity to mean unity of the rich tribal kings or unity to
mean of all the struggling masses of gallant Kenyans fighting for transformation
and development
The reasons why Kenyans are for sure going to vote out Kibaki in this year's election are clear. Kibaki said "I shall lead the country to get a new constitution
within 100 days"- He ended up doctoring a terible one and we rejected
it. Does he want us to continue with constitution? ati Kazi gani iendelee?
Kazi ya ukosefu wa Katiba ya kidemokrasia? Wakenya
wamesema hawataki Kazi hiyo iendelee. Wanataka Kazi ya kupata katiba ya kidemokrasia
ianze. Kibaki hawezi hiyo Kazi!
Kazi gani iendelee? Ya Kuhiba mali ya umma kupitia ufisadi
wa Anglo leasing na Golden berg na kisha kuwatetea walafi wa Goldenberg na
Anglo leasing kwa sababu ya Kura za kikabila? Hiyo Kazi isimamishwe
mara moja. Tunataka kazi ya kurudisha mabilioni ya pesa zetu zilizoibwa na
Moi na Kibaki na Kenyatta. Sisi hatutaki Moi afungwe Kamiti ama hafinywe Nyayo
house torture chambers, Tunataka harudishe Pesa Zetu na mashamba yetu warudishe
tulipe madeni yake ya kijinahi tufanye Kenya huru tena. Kwa nini haya Kibaki
hataki tutekeleze?
Kazi gani iendelee? Ya Kutusi wa Kenya eti ni Mavi ya kuku na Pumbavu?
Kazi gani iendelee? Kazi ya kuzoroteshal demokrasia
kwa kuvunja vunja vyama vya siasa Tunataka ikome mara moja!
Kazi ya kuwateua mabwanynye wa Kabila lake pekee na kisha
kuwapa wengine kazi za forestry, na vetirinary services na arid lands hatutaki!
Tunatak Kenya iliyo jengewa kwa misingi ya kinationalist ambapo sote tunaheshimiwa!
Kibaki aende!
Hatutaki Ed Njoroge Pekee anyakuwe parastatal zote na Transcentury
yao na Kibaki na genge lao la wezi. Hii Kazi hatuitaki . Tunataka
Kazi hiyo ikomee pale pale. Tunataka kazi mpya ianze. Kazi ya devolution
of resources Kwa wakenya wote ndio umaskini utokomee.
Hatutaki Kazi ya Kibaki ya kuwateua kazi na kuwapa mamlka
Wazee wazembe wenbye chuki Mababu akina Karume, Nyachae, Koech, Michuki,
Mwiraria, Muhoho, Moi Daniel, akina Titus Mbathi, akina Shakkombo na Makwere
na huko hawa mababu wamekuwa mamlakani tangu 1960. Wengi wao ni mahome
guard ambao wameua wakenyha wengi huko wakinyakuwa mali. Uhuru Kenyatta kwa
njia hiyo ni mzee tu kama hawa wengine.
Kwani Kama Kibaki na Mboya na Onyonka waliweza kuwa mawaziri wakiwa
miaka ishirini na nane, hivi ni kusema kwamba akina mama zetu hawaja wahi
kuzaa watoto wenye bongo na hekima ya uongozi huku tukiwa na mitandao na falsfa
bora kuliko hawa conservatives makabaila wakabila wenye ukabila mkongwe? Tunataka
sera ya Vijana mbadala, yaani inayo wapa vijana nafasi yakufumbua ( tranform)
nchi yetu.
Nionaposikia wengine wazembe wakipigia kibaki debe eti amefanya
makuu mimi ninahusunika kwamba hamuoni njama ya hawa wazee moi na Kibaki.
Kwani nchi hii imeharibiwa na nani? na Moi pekee kweli?
- Na ni nani alipendekeza Kenya iwe one party dictatorship-
Sio Kibaki mnamo June 1982 ambayo ilizamisha Wakenya kupanga mapinduzi
ya coup Agosti mwaka huo? Sasa tunamlahumu nani, aliyetesimamia ukweli na
demokrasia na sio walafi walio funga njia zote za kufanya siasa za kidemokrasia?
Kwani Kibaki na Moi ni akina wao? Kwani wao ni Wakenya zaidi kuniliko mimi?
Yaani <oi na Kibaki ndio walio na haki ya kukuwa mabilionea na si mimi
na vijana wengine? Kwa nini Moi na Kibaki wanajidhania wao ni walioumbwa
na Mola mkuu kuliko mola aliye umba wakenya wanaoishi Mathare Kosovo kwa mfano?
- Nani aliwatia kitanzi na kuwavunja wakenya wazalendo
akina Michere Mugo, Ngugi wa Thiongo, Maina Kinyati, Raila Odinga Ngotho Kariuki,
Karimi Nduthu, Tirop Kitur, Willy Mutunga na wengineo kule nyayo house- Si
Kibaki aliyetia sahihi ya kuteswa Kwa Wakenya wazalendo akiwa mwenyekiti
wa Security council? Mbona ukweli umefichwa hivi paka takataka ikaanza
kuzambaa pote nchini mwetu?
Ni nani aliyeunda Sessional Paper no. 10 of 1965
iliyotangaza kwamba central Kenya na Rift valley ndizo sehemu za High potential
ndiposa shule zote nzuri, viwanda hata vya samaki vikajengwa central na
Nairobi? Si ni Kibaki akiwa na Tom Mboya? sasa Kibaki anasifiwa kwa
nini?
Nani aliye anzisha kulipa madeni ya kibandia kwa miradi
ya kighosti ghosti tangu 1970- si ni kibaki akiwa Waziri wa Fedha?
Ken Ren Fertilizer comapny ambayo mwaka huu Kwenyer Makadirio ya fedha ( budget
) imekadiriwa na kuekezewa Kshs. 480 M ni kampuni gani?
Kwani
- Kujenga Bara bara ni kazi nani awezi kufanya?
- Kulipa shool fees kwa shule ni kazi nani awezi kutekeleza?
- Kupeana CDF kwa afisi fulani nchini ni Kazi nani awezi kufanya?
- Kutangaza figures Za growth 6.1 na huko Kenya chini ya Moi ilikuwa
imeisha ni Kazi ngumu hiyo?
- Kuwateua mawaziri na maafisaa wa Kabila lako ni Kazi ya Kujivunia
kweli?
- Youth fund ambayo wanyusi kama 20,000 kwa eneo moja la ubunge
weanapata milioni Moja kwa Mwaka na huko mbunge mmoja wa eneo hilo upata milioni
kumi na moja kwa mwaka ni jambo la kututia kiwewe sana hata tukamsujudu mtu
mwizi ambaye amepora mfuko wa umma pitia ufusadi kweli?
Kazi ambayo Kibaki awezi ni ifuatayo
- Kuwashika wafisadi wa Anglo leasing, wa Mashamba, wa madini yetu,
wa Goldenberg, wa Pesa zote ambazo zimeorodheshwa kwa ripoti za Bunge, Auditor
general, Kroll report na wengine: Kibaki awezi hii Kazi!
- Kiabki awezi kufanya devolution ndio wakenya wote wamiliki uchumi
si yeye peke yake, Moi, Kenyatta na makabaila walio wazingira akina michuki,
Biwott na Madoka; Devolution Kibaki awezi
- Kibaki awezi Kukubali Katiba ya kidemokrasia. Yeye na moi, na
Karume wenzake hawahitaji katiba mpya! hii ya sasa inahiofashi mali yao na
akina Nyachae kwa hivyo Katiba Mpya ni Mbaya;
- Kiabki hawezi kuaminika. Hata yeye mwenyewe hajiamini; amedanganya
wenzake akina Marehemu Wamalwa, Ngilu hata Kombo anayemsifu; amedanganya hata
kuhusu mkewe na mtoto aliye mzaa;
- Awezi kung'oa ukabila kwa sababu bila katiba ya kidemokrasia
na usawa na sera zinazo heshimu wananchi ukabila hauwezi kutoka
- Kibaki awezi kuongoza Kenya kuwa taifa kiongozi sababu ni kibaraka
wanchi za nje. Tumeoana akiwahachilia wakenya kunaswa na kupelekwa Guantanamo
Bay na kuingineko. tumeona akiwanyima wasomali wenzetu nafasi ya kukimbilia
uhamishoni wanapo pigwa na warlords wa kwao, ametia nchi yetu mnada na kukombolesha
besi kadhaa kwa nchi za nje; Kazi awezi mzee wetu Kibaki
- Mzee Kibaki sasa lazima apumuzishwe kwani yeye ni mlafi wa mamlaka
yasiyomlikuwa kikatiba.
nikiendelea zaidi the fact that a group surrounding him and
cheering him like Ngure na wengine all happen to come from the same
ethnic group. I have seen the way he appoints officials and now even campaign
people shamelessly all kikuyu and one wonders why the President is that cynical?
why is the President so foolish? We gave him a country and a presidency he
was never to have but then he immediately dismmissed those who made
him President and brought back the people Kenyans rejected at the polls like Nyachae, Karume, Koech, Moi, Uhuru then came back to join in the looting. so who are his PANU supporters fooling? If PANU supporters can not deal with the fact that Kibaki
has lost and Kenyans are ready to move on with building a new just and equitable Kenya
amd complete [rpjects like democratization and without Kibaki,
to bring about development with rights not repairs without rights amidst corruption
and tribalism, then too bad.
The cyclic argumentations to justify Kazi iendelee must be stopped
with a response hatutaki kazi ya Kibaki tunataka kujifanyia Kazi sisi wenyewe
chini ya katiab mpya na uongozi unaotuheshimu.
Kwaheri Kibaki, Kibaki aondoke!!
Orina
===================================================== Joluo.com Akelo nyar Kager, jaluo@jaluo.com |
IDWARO TICH? INJILI GOSPEL ABILA
|
Copyright © 1999-2007, Jaluo dot com
All Rights Reserved