12/03/2007 |
|
|
HOME VILLAGE NEWS GRANTS ARCHIVES
;
|
Re: Enough is Enough All Eligible Kenyans Must Go to Vote Date: Sat, November 17, 2007 4:13 pm Judy Miriga wrote: Folks, Nisemeje ndugu wapenzi, dalili ya mvua mawingu. Nimeona road to Presidential nomination, watu walijitokeza kama sand in the sea shore all painted orange. There is no doubt people want CHANGE. Porojo za propaganda zaonekana hazikolei, watu washa amua. Wakati inaonekana ina pita pilka pilka, civic nominations nayo imelipuka jana. Inaonekana mchezo kando. Kila mhusika ametia mkazo kwa njiya yoyote ile, ngalau kwa nguvu, ushujaa wa kifua, au ujanja wa computer tech. ili wajipatie ushindi katika nomination. Huu ndio udemokrasia. ODM likiisha chukua serikali jamani twatarajia, baada ya dhiki faraja.After hardship c o mes relief. Dick Morris hali yake ni kama hivi. Baniani mbaya kiatu chake dawa. An evil Indian but his bussiness is good. Dua la kuku halimpati mwewe. the curse of the fowl does not bother the kite. Fumbo mfumbe mjinga mwerevu huligangua. Put a riddle to a fool a clever person will solve it. Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake.The timid crow withdraws his wings from harm. Pentagon iko - kama huna habari ingojee ikolee ujionee mwenyewe usingojee kuambiwa. Mchakacho ujao,haulengwi na jiwe.You dont throw stones at an approching craclin noise in the bush wait and see what it is first. Kwahivyo Kibaki, inuka, funga virago vyako, uelekee malongoni. Mwenyewe ywaja na vishindo. kwaheri naaga Subira ni ufunguo Wa faraja. Patience is the key to tranquility. Mungu awabariki tuonane jukwaa la habari kamili. JM. patrick_manyeki wrote: a lot of "domo"& hot air, very typical.Change for the sake of change but no tangible development initiative. Joluo.com Akelo nyar Kager, jaluo@jaluo.com |
IDWARO TICH? INJILI GOSPEL ABILA
|
Copyright © 1999-2007, Jaluo dot com
All Rights Reserved