01/25/2008

HOME

VILLAGE NEWS

GRANTS

ARCHIVES

AGAJA

KUYO

BARUPE

WECHE DONGRUOK

MBAKA

NONRO

JEXJALUO  

NGECHE LUO

GI GWENG'

THUM

TEDO

LUO KITGI GI TIMBEGI

SIGENDNI LUO

THUOND WECHE


 

;Hit Counter

 
  
 

Google
 
Dream Trips - - [lnk]

Thu, 24 Jan 2008 13:14:52 -0500


POLENI WAKENYA KWA MATATIZO YALIYOWAKUMBA!

Tirus Okolah Omolo


Naitwa Tirus Okolah Omolo mwanfunzi wa Green Acres High school Dar es Salaam, Tanzania, kwanza kabisa nina majonzi makubwa sana kuwapa wakenya poleni na na matatizo ya kisiasa,vilevile napenda kutuma salaam za rambirambi kwa wafiwa wote na jamaa/marafiki na ndugu zao.

Jamani mweshimiwa Mwai Kibaki Hauoni kuwa watu wanakuwa wakimbizi nchini mwao na nchi jirani za Uganda na Tanzania. Swali ni kwamba hutaongoza wakina nani huku wananchi walio wengi hawakupendi na hutatumia jeshi la polisi mpaka lini kiwauwa Raia wasio na hatia MFANO M ZURI ni ya kule Jijini Kisumu Kijana mdogo Ahmed Salimu alipopigwa Risasi 2 na polisi jamani hivi motto kama huyu wa miaka 15 ana uwezo wa kupiga kura??? Nakusii mweshimiwa mwai Kibaki iundwe kwa Serikali ya Mpito huku ukiwa nje ya kiti cha urais ili kunusuru hali ya kisiasa/kiuchumi na kijamii.

Jumuiya ya Umoja wa nchi huru za Kiafrika A.U, Umoja wa mataifa U.N,Jumuiya ya madola COMMONWEALTH na mataifa Makubwa,wakati uliopo sio wakati wa kubembelezana, kilichopo ni kutumia nguvu kama njia za KIDIPLOMASIA zimeshindikana kumwambia mweshimiwa mwai kibaki9 angatuke madarakani na kurudiwa kwa uchaguzi wa Urais au uhesabuji upya wa kura kwa kuanzia kwenye majimbo.Vinginevyo hakuna haja ya Kusema kuna demokrasia na hakuna haja ya kufanya uchaguzi kama wanaonekana kushindwa kwenye uchaguzi ndio wanapewa uongozi.

Mabadiliko yasipofanyika KENYA basi kesho na Kesho kutwa viongozi wengine wan chi za kiafrika au pengine watangangania madaraka.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kenya hana huruma na sio mwajibikaji katika kazi yake, na kwanini ashinikizwe kutangaza.

directortirus@yahoo.com



=====================================================

High end travel; Low end rates; [Lnk]

 
Joluo.com

Akelo nyar Kager, jaluo@jaluo.com


IDWARO TICH?


INJILI GOSPEL


ABILA

TRAVEL TOOL

INVEST with JALUO

Carry Books to Kenya

WENDO MIWA PARO

OD PAKRUOK

 

                            Copyright © 1999-2007, Jaluo dot com
                                All Rights Reserved